Inashangaza, ila nadhani kuna siri imefichika

Inashangaza, ila nadhani kuna siri imefichika

Hata huyo mwenye msambwanda,mahaga na sura nzuri rangi ya mtume,ukimuoa tu baada ya kuridhika na ndoa na kupata mtoto naye anafutuka kama kiroba aka sanamu la michelin.
 
Mfikirie na furaha ya nafsi zenu tabia mtanyooshana, sio mnajifanya tabia tabia mkioa hiyo miche yenu ya sabuni mnaifungia ndani sasa kama makochi, mnaanza kusumbua wake za wenzenu, wakati wenzenu wanajilipua kuchagua wenye wowowo nyie si mlichagua tabia....muache usumbufu!!!!!
Kweli SALT

Wanaume tuna tabu sana
Kutwa tunajifanya tunapenda tabia lakini hatuna uwezo wa kuyasimamia maamuzi yetu. Muda mwingi tunasaka miswambanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada tamu sana
Linapokuja suala la kuoa tunaangalia a girl with all quality of wife material
Sio with
Boss baby features/boss lady
Sijui mwenye exposure na dunia
Anajua kila tolea la gari/sim and all gadgets
Hahahahahaua
Wake zetu nyumbani
Hawajui hata markerup
Hao ndo tunaweka ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wanachokitafutaga wanakijua wenyewe aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo mkuu, wanawake wenye misambwanda na wazuri hawaolewagi???

By the way, siasa ya kuoa au kuolewa ina mapito mengi sana. Wapo wanaoshindwa kuwaoa wazuri kwasababu wamekataa, wapo wanaamua kuoa wasiowapenda kwasbabu wanaowapenda bado wako undecided. Wapo wanaooa bila kutarajia kwasabbu za hapa na pale etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Of coarse, lazima kuna jambo linalopofushaga jambo hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom