Nimesikiliza interview ya Zari na Millard Ayo, kwanza Ivan amefia hospitali mwenye uwezo wa kuconfirm death ni daktari tu sasa mno daktari gani atakaerisk profession yake kwa kudforge death certificate? Ni kawaida ikshajulikana hakuna cha kumsaidia mgonjwa inaanza end of life process na hii Zari aliambiwa ale nyumbani mgonjwa aende kwa amani