Sasa inakuwaje wakikutana katika ndo pair amabayo ina mchanyato katika hayo mapenzi kwa wazazi? Namaanisha kwa mfano mwanaume alikuwa na mapenzi sana kwa mama (Kwa kadri yako huyu atakuwa na mapenzi sana kwa mkewe) na mwanamke naye alikuwa na mapenzi sana kwa mama yake pia (Kwa kadri yako huyu atakuwa ni opposite na wa kwanza. Hii combination inakaaje nayo? Au katika utafiti wako hujawahi kukutana nayo?