Inasemakana mashoga ndio chimbuko la ugonjwa wa monkey pox

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Ufirauni wa kutisha uliofanyika kafika sherehe ya mashoga (mass gay orgies) nchini Hispania na Ubelgiji inasemekana kuwa ndio chanzo cha kusaambaa kwa ugonjwa wa Monkey pox katika Bara la Ulaya, anasema David Heyman ( aliekuwa mkuu kitengo cha dharura Shirika la Afya Duniani)

Mass gay orgies in Spain and Belgium have caused the spread of monkeypox in Europe, said the former head of the WHO emergency department, David Heyman.

Tayari mamlaka nchini Uhispania inachunguza uwezekano wa sherehe hizo za kifirauni zilijumuisha mashoga wapatao 80,000 na wanao unga mkono harakati za mapenzi ya jinsia moja (LGBT) ambazo zilifanyika katika Visiwa vya Canary na karamu za mashoga katika sauna huko katika mji wa Madrid, Uhispania.

Shirika la afya duniani kitengo cha UKiMWI (UNAIDS Agency) wamedhibitisha ni kweli ugonjwa huo kwa sasa umeiathiri zaidi jamii ya mashoga na wapenzi wa jinsia moja, jambo ambalo liameanza kuleta unyanyapaa kwa LGBT dhidi ya jamii ambayo inawashutumu kuwa ndio chanzo cha Monkey pox.

Inasemakana ugonjwa wa Monkey pox ni ugonjwa ambao sio mgeni katika mataifa yapatayo 11 ya Africa. Mlipuko wa monkey pox Marekani na katika nchi za Ulaya ni mpya kuwahi kuyakumba mataifa hayo.

Ni asilimia kumi ya wagonjwa wa Monkey pox ndio huweza kuugua vibaya, na mpaka sasa hakuna kesi mbaya zilizokwisha ripotiwa zinazotakana na madhara ya ungonjwa huo.

Dalili kuu za money pox ni homa, kuhisi baridi, vipele, na vidonda kwenye uso au sehemu za siri.



IMG_20220524_180251_751.jpeg
 
Michezo yao ya Kishenzi na Kifirauni ndiyo ilisababisha hasira kwa Mola hata akashusha Moto 🔥 kule Sodoma na Gomora na baadae kuleta Gharika 💦 kwa Nuhu.

Ila sisi wanadamu sisi ni Wabishi sana tena Viumbe Wazito hatuelezeki wala hatusikiliziki. Kazi Sana Aisee!!
 
Magonjwa mengine ni Laana.

Magonjwa mengine ni hasira tu ya Mola.

Magonjwa mengine ni Silaha ya Vita dhidi ya Nchi au kundi la 'Watu' Maalum.

Ogopa sana Wanasayansi, ambao sikuhizi Dhima yao kubwa kwa chinichini sio kuokoa maisha bali kuangamiza kwa wingi na haraka kupitia muda mfupi. (Mass Destruction Weapons)
 
swali langu..
hivi ukiwa shoga ni lazma ujiweke katika hali kike kike??!!
au hii inakuwaje??!!
eti kama kuna shoga humu aje kunifafanulia..
 
KWA NCHI ZETU HIZI NAMNA PEKEE YA KUPUNGUZA USHOGA NA KUUMALIZA NI KUUA KIMYA KIMYA.

KWANZA MAOMBI YANGU YA KUMILIKISHWA SILAHA YAKAMILIKE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom