Inasababishwa na nini...

Ni kweli..mh sijui ni laana gani hiyo mtu kutembea na babako unamwacha mama analia..
 
Mkosa ni ya wazazi wote wawili!
Eiyer kwa kiwango nakubaliana na wewe. Mzazi unamuona mtoto anakuja kukaa na wewe sebuleni kaacha mapaja yote nje amevaa kimini cha hatari tumbo liko wazi manyonyo yanaonekana nusu mama na baba mnasema maendeleo
Ni aina gani ya malezi mnampa mtoto na kama aliweza kuacha mapaja nje na manyonyo mbele za baba ni Kipi ameacha hapo ambacho kinatakiwa kufichwa. Hata akitongozwa na baba yake hataona ajabu maanna baba yake kashaona robo tatu ya vinavyotakiwa kuonekana
 
Last edited by a moderator:
@ M.E.M.A HAYA YOTE YANATOKEA NA TUNAYAONA LAKINI HATUCHUKUI HATUA

Hizi ni siku za mwisho tumgeukie MUNGU Jamani
 
Sasaiv haya mambo yamekua kitu cha kawaida, baba kuwa na binti,,na kuna hili lingne la mtu na dada ake yaan yameshamiri mno,,,!
Hapa mtaan kwetu kuna jamaangu wa karibu nae anahisiwa kutembea na binti ake
 
Na kuna kabila moja la jamaa zetu, maarufu sana wanatabiio hio sana....
 

kaka mkubwa umenena ipasavyo, huu usasa sijui uzungu unaathiri sana malezi ya watoto....
 
mr rock unachosema ni sahii ila mpaka ufikie kumuomba mwanao,tena kumtamani kingono....
 
sasaiv haya mambo yamekua kitu cha kawaida, baba kuwa na binti,,na kuna hili lingne la mtu na dada ake yaan yameshamiri mno,,,!
Hapa mtaan kwetu kuna jamaangu wa karibu nae anahisiwa kutembea na binti ake
hili pia nitatizo katika jamii nimeleta kisa hichi cse hayo ya dada na kaka nimengi
 
Yan Huyo Mzee anavuna alichokipanda??

Daah,mbaya sana,ni kuvuka mipaka huko sasa,

Mimi nadhani hii husababishwa sana na wanaume waliokosa stahimilivu,ila pia nakubaliana naww hii hali kwa wana wa kiume kuwafanyia mama zao ni nadra sana,

HII DUNIA SASA IMEZID KUBADILIKA,NUSU SHARI IMEKWISHA IMEBAKI SHARI KAMILI,TUZIDISHE IBADA
 
Na kuna kabila moja la jamaa zetu, maarufu sana wanatabiio hio sana....
KAKA sithani kama hichi kitendo kina ukabila,baba kumlala bintie,au mama kumlala kijana wake,au kaka na dada,mama mdogo na na mtoto wa dada ake
 
KWA MTOTO WA KIUME KUMLALA MAMA AKO MZAZI KUNA VITU VIWILI HELA ZA MAJINI AU UKAMBAKA KWA VILE HUNA AKILI TIMAMU YANI CHIZI ILA SIO KAWAIDA,ILA KWA WATOTO WA KIKE NI KAWAIDA KABISA,HADI BABA LINAMPANGISHIA NYUMBA ILI AHAME NYUMBANI THEN TOTO ANA MPIGIA SIMU BABA BABY NIMEKUMISS NJOO NYUMBANI PENZI ULILONIPA JANA.........muache mama uniowe mimi
 
Yani Baba na mtoto wote wanaongozwa na shetani,nawanalaana ambayo itawatafuna vizazi kwa vizazi,cjui watavunjaje hiyo laana..kweli dunia imekua kuukuu,Maskini Mama mwenye huyo binti sijui atakua katka hali gani jaman Mungu awasaidie.
Ila uzungu mwingi pia inaweza kua sababu,mtoto kakaa na Baba sitting room kama kakaa na mpenzi wake,paja lote nje,baba kaja anapokelewa na mtoto kwa kukumbatiwa na kupigwa kiss,na hiyo ni kila siku si kwamba mzazi katoka safarini hakuwa nyumbani siku nying,Baba na mtoto wako sitting room wanaangalia movie mfano wa porn tutegemee nini hapo?ivo sometimes wazazi hasa wanawake tuangalie vile tunalea mabinti zetu uzungu usiwe mwingi sana maadaili ya kitanzania yazingatiwe maana wababa wengine akili zao zipo ndani ya suluari zao
 
na ndo kinacho wapoza....japo baba kuwa na furaha na wanao na sio mbaya,na kibaologia watoto wa kike wana kuwa karibu sana na baba yani vaisi vesa,ila tusizidishe mapenzi mpaka kupiliza tuwe na mipaka ya kuishi na watoto wetu,nisaendaga kwa rafiki yangu mtoto wake ana umri wa miaka 17 doh the way she wear nikamshauri mjomba ujue sio vizuri,mtoto anashepu ya mama ake afu we kumvalisha vinguo vya kubana
 
Acha kumsingia shetani, yaan kosa ufanye kwa akili yako uje useme shetani,,,,!

sijasema ni shetani nimesema ""ni ushetani" sasa kama ulisoma kiswahili vyema unaweza kutofautisha kati ya hizo semi mbili.
ukizodoa uwe na uhakika kwamba unajua unachokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…