demu wako kashakutajia..
haum feel...au ni too ugly lol
afanyeje sasa,hebu mpe ushauri or your too old for this again
labda ajaribu threesome lol
muulize Asnam anaijua lol
amekuuliza ww,kwa maelezo zaidi amtafute Evelyn Salt atakuwa anaijua vizuri zaidi
Una madeni ?
Huna tatizo lolote, bali unasumbuliwa balehe. Ikipita hiyo hatua utakuwa normal tu usijali.Nikipanda nachelewa kuchuka! Hadi dem wangu anadai kuwa sim-feel ndo maana sishuki mapema. Na bado nikishuka ngoma inaendelea kudai tena. Nikiongea na marafiki zangu wanasema wao eti dak 5 ni nyingi; wakati mi huwa naenda hadi 20 au 30 min ndani ya game.
Sijawahi kutumia dawa za kuongeza nguvu; kinywaji changu ni Guines the Power + CocaCola.
Sababu ni ipi?