Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,110
- 173,860
Hahahahah uzuri kwa wapenda vitonga ndio wanaponea kwake! Mi kimsingi gari chache mno ndio naona zinafaa kwenye page yakeKweli Extro, Waaminifu wapo wachache mno hawa.
Amesahau tu kusema nauza body lenye engine inayowaka na namba za fundi aliyeizoea.