Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,434
- 108,630
Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini?Sakata lililo sababisha kuwekeaa kauzibe kwenye Vyeti kati ya CAF na UEFA unalijua?
Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini?Sakata lililo sababisha kuwekeaa kauzibe kwenye Vyeti kati ya CAF na UEFA unalijua?
Wewe ni wa kupuuzwa......Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini?
Atafikaje wakati hana vyeti?Malengo aliyopewa Kocha Gomes ni Simba ifike Nusu fainali. Hivyo ni halali Kutimuliwa
Katafute hela ya dagaa na mkaa upike ule, hayakusaidii hayo.Anayetaka kujua chama na mmakonde wameuzwa kwa sh ngapi aje PM