cantonna
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,120
- 439
By Mch. Peter Msigwa;
Inavyoonekana hata wabunge wa CCM waliopitisha bajeti,walipitisha bila kujua hiyo VAT inayowavuruga TRA na BOT kuhusu miamala katika mabenki na makampuni ya simu alipe nani?nao hawakujua wanaipitisha ili alipe nani?unamuuliza mbunge eti nani anatakiwa kukatwa hiyo VAT kwenye miamala ya simu nae anakwambia kwani hujawasikia TRA,mwingine anakujibun "unajua hilo suala hata sisi lilituchanganya".Tehetehe.