Naumia sana napoona watoto wamebebwa na baba zao, wanafurahi na baba zao hata kucheza na baba zao.
Masikini mtoto wangu mapenzi haya furaha hii hatakuja kuipata kwani kakataliwa tangu akiwa tumboni.
Mungu nisaidie niweze kumpa furaha mwanangu asijehisi upweke.
Furaha ya mtoto unayo wewe mwenyewe!!pigana umwandalie mtoto maisha mazuri ili hasiweze kuona gap la baba!!wangapi tumelelewa na mama tu na maisha yakaenda mpaka saizi tuma maisha yetu!!!be strong and move on