Inaniuma sana

usijali wako wengi single mothers humu na maisha yao yanaenda vizuri tu. Watakupa uzoefu
 
Pole bt shukuru mungu kakupa mtoto kuna wengine wapo baba na mama kikwazo kinakuwa hawana mtoto mungu Ni mwema unaweza kuona mtoto akawa faraja tosha katika maisha yako,jifunze kushukuru na kumwachia Mungu
 
mtafutie baba mpenda watoto.... pole kwa majanga.... ndo maisha yalivo....
 
Tafadhari single mothers kokote mliko naomba mum_PM uzoefu huyu dada
 
Natamani unipe huyo mtoto, japo aniite baba tu ili ujisikie vizuri
 
amemkataa tangu tumboni ujue ulikuwa hueleweki kaogopa kumlelea mtu!!!
inaonekana hukubaki njia kuu............!!!!!!!!!!!!!
 

Usiogope Nimeshakataaa kama Wawili hivi Mwanao akikua atapata kampani maana sometimes wakumbambikiwa noma isitoshe mtu ulishaanza familia na watoto wengine.....NOMA hiyooo
 
Pole sana... as long as baba yupo hai... kuna siku atabadilisha mawazo... hasa akimuona, na akikua (naamini huyo baba hajakomaa kiakili)...
 
pole sana usiwe na shaka kwan hata wew una uwezo wa kumpa furaha kikubwa jipanga kiuchumi ili mwanao asije pata shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…