Pole sana,utapata baba atakayempenda mwanao,kwann alimkataa?naumia sana napoona watoto wamebebwa na baba zao, wanafurahi na baba zao hata kucheza na baba zao. masikin mtoto wangu mapenzi haya furaha hii hatakuja kuipata kwani kakataliwa tangu akiwa tumboni......eeeeh mungu nisaidie niweze kumpa furaha mwanangu asijehisi upweke.
naumia sana napoona watoto wamebebwa na baba zao, wanafurahi na baba zao hata kucheza na baba zao. masikin mtoto wangu mapenzi haya furaha hii hatakuja kuipata kwani kakataliwa tangu akiwa tumboni......eeeeh mungu nisaidie niweze kumpa furaha mwanangu asijehisi upweke.
Anatukana chama...!
Kwa hiyo hao ndo mabazaz?
Naumia sana napoona watoto wamebebwa na baba zao, wanafurahi na baba zao hata kucheza na baba zao.
Masikini mtoto wangu mapenzi haya furaha hii hatakuja kuipata kwani kakataliwa tangu akiwa tumboni.
Mungu nisaidie niweze kumpa furaha mwanangu asijehisi upweke.
kwani una umri gani mkuu? sahau kabisa lea mwanao, achana na mambo ya kumuwaza baba aliyekataa mwanae, amini nakwambia mko salama jinsi mlivyo, huyo angemkubali mmtoto mngekuwa kwenye mateso tu, achana naye, HE IS NOT WORTH IT!
Shukuru mungu hata wwe unaweza kumpa mwanao furaha kwani wapo ambao hawana baba wala mama na wanatamani wapate furaha kama unayotaka mwanao aipate, mshukuru mungu kwa ilo!!