Pole sana, wewe usimwambie kitu sasa hivi, jifanye kama hakuna jambo baya ulogundua juu yake, ili uchunguze ni nini kinachomfanya awe mkali na kubadili tabia zake kiasi hicho, ukishajua kama ana mwanamke mwingine yuko nae sasa hivi, hapo ndipo unapoweza kuondoka. Ukiondoka bila ya kumwambia kitu atatengeneza mazingira ya kukudanganya mara oohh ni ugumu wa maisha tu ndio umenifanya niwe mkali, mara oohh ni stress za kazini , na hataweza kukuambia ukweli kama huyo mwanamke aliekuaga nae kabla yako bado anaendelea nae au laah, its better ukachunguza kimyakimya ukawa na uhakika kwanza ili atakapojileta kukubembeleza na kukudanganya umpige chini mazima bila bila kujiuliza maswali .