Inaniuma sana jamani,mke wangu kaniacha,.

gentleman yuko nusu kuchanganyikiwa jaman mwelewen na tumpe ushauri mahususi pole sana mkuu gentleman.
 
"umeniacha Gorgina, umeniachia masikitiko,...Gorginaaaa Gorginaaaaaa..." just singing loud!
 
sina namna ya kuonyesha moyo wangu pekee ndo unaotambua userious wangu,

Mkuu ni nani awezaye kuusoma moyo wa mtu mwingine?

Mimi nakushauri kama kweli hauna kazi basi tafuta kazi kwanza
 

shikamoo Inspector General !
enh mtani hicho kichwa kina taarifa za wanajf wote au?
huwa najiuliza unaanzaje kimdoubt mtu kiasi cha kuanza kufyatilia aliyowahi kuandika!
wooooooooih!
mi sa hiz personal stories kama hizi siandiki kituuuuuu mpk nione umepita!
 
Poleeeee ila sometimes tunajaribiwa na muumba ili kuona the true colour ya watu tunaowaamini.....
Sasa unapaswa kutazama jinsi ya kujikomboa kutoka kwenye hayo majaribu, ukifaulu hilo, hayo mengine yatakuja automatically...
 

Kakukimbia kwa maana ya kukuacha kabisa au Kwenda kutafuta pesa ya kulipia nyumba. Fanya mawasiliano nae ujue. Na kama kakukimbia kwa kuogopa kuaibika mwombe Mungu atakusaidia na utapata kazi na yeye ataona Haya.

Uenda yeye ndo kizuiz. Mwombe Mungu tu na jitihadi za kutafuta kaz usiache.
 

Pole ndg lkn ushamtamfuta na ukajia yuko wp na mtt??na je ni kakukimbia ksa tu kaz hn na kod inatakiwa nxt mnth au kn lingne ambalo ww hulijui??Nakushaur mtafute na ujue km kn sababu nyngn ilyomfanya akimbie
 
Pole.....Mungu akupatie kazi na hayo mengine yatakuja.
 
Sasa tutajuaje kuwa sasa upo serious?

sijui kama siku hizi simulizi kama zile za mtoto mchunga kondoo aliyekuwa akipiga mayowe "mbwa mwituuu, mbwa mwituu" wanakijiji wakijitokeza kumsaidia anawacheka kwamba alikuwa anatania! siku ya siku mbwa mwitu alikuja kweli na mayowe yake ya kuomba msaada hayakujibiwa kwani wanakijiji walijua anatania tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…