Hajakukimbia..kaenda Tafuta ahueni ya stress atarudi tu...wewe Tafuta kodi ulipe...
nimehangaika sana na najitahidi na vibarua vya hapa na pale mke wngu ale mwanangu avae na nauli za kila siku,ila mambo yanazidi kubadilika,maisha yamebadilika jamani.......unamaanisha uwe na genge lako sio!!?? Hapa ndipo unapokosea, tena sana! Sio lazima uwe na mtaji wa kuanzia. Unaweza kwenda kuomba kazi ya usaidizi kwa mkaanga Chipsi, kama ni sehemu inayochanganya unaweza lipwa buku tano kwa siku na kula unakula hapo.
kiukweli sikua serious nilifanya tu kupoteza mawazo,maisha yananichanganya sana,
kiukweli sikua serious nilifanya tu kupoteza mawazo,maisha yananichanganya sana,
Sasa tutajuaje kuwa sasa upo serious?
bad nampenda nitamsamehe,ukipata hela akarudi unamkubali?
Pole sana kiongozi,
vipi uko dar?Na umesomea fani za biashara? nimeku PM
kiukweli sikua serious nilifanya tu kupoteza mawazo,maisha yananichanganya sana,
umaskini ukiingia ndani
upendo hutokea dirishani.
kosa pesa ujue tabia mkeo
pata hela ujue tabia za mmeo
mke mwema hutoka mbinguni
mme mwema hutoka benki na MPESA,TIGO PESA NK
Gentleman umeachwa???? pole sana rafiki