GENTLEMAN S
Member
- Feb 19, 2014
- 47
- 8
Man..toughen up and go find a job flipping burgers somewhere.
So many burger joints in town looking for help.
hata chips ningeuza tatizo ni pesa ya kuanzia,Burger tz?au you mean auze chips?
Burger tz?au you mean auze chips?
ni kweli nimelia ila machozi yamekauka,MUNGU pekee tu ndo anaejuaduh..pole naona michozi inakububujika
Habari zenu?
Nina imani kuna wadada wa kutosha humu na wakaka pia mwaweza kunipatia dada zenu..
..ninahitaji binti mmoja tu anayejitambua na kujiamini..
Nimeshajipanga kimaisha na namuhaidi atakaejitokeza kuja kua mke wangu..
..awe anajipenda na msafi,
umbo lolote..
Umri 24-32
elimu yoyote asipokua na kazi nitamsaidia,
karibuni tuwasiliane kwa PM
asante sana,Pole sana kiongozi,
vipi uko dar?Na umesomea fani za biashara? nimeku PM
hata chips ningeuza tatizo ni pesa ya kuanzia,
kiukweli sikua serious nilifanya tu kupoteza mawazo,maisha yananichanganya sana,Pamoja na kushuhudia sredi zako nyingi za kutafuta kibarua na ku-confess kuwa una familia, lakini nataka kujua kwa nini uliandika sredi hii na ni miezi mitano tu imepita?
5 Machi 2014
https://www.jamiiforums.com/love-connect/615171-natafuta-binti-anaejitambua.html