MY LOVE Senior Member Joined Oct 17, 2012 Posts 161 Reaction score 68 Oct 25, 2012 #21 kama hutaki cm yako ikaguliwe weka PIN
golwebo_mkuu JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 2,270 Reaction score 693 Oct 25, 2012 #22 wasiwasi ndio akili.we kila kukicha unawasiliana na mke wangu unataka nn?
R Rubuye123 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,379 Reaction score 1,948 Oct 25, 2012 #23 QUOTE=Preta;4895471]eeh....kweli upo serious.......[/QUOTE] hahaha kwakweli sipendi kukaguana bana.mpaka nimetulia na wewe,hukunishurutisha,maana yake nimekata shauri!nimeacha msururu woooote huko kwaajili yako,tuaminiane bana!
QUOTE=Preta;4895471]eeh....kweli upo serious.......[/QUOTE] hahaha kwakweli sipendi kukaguana bana.mpaka nimetulia na wewe,hukunishurutisha,maana yake nimekata shauri!nimeacha msururu woooote huko kwaajili yako,tuaminiane bana!
R Rubuye123 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,379 Reaction score 1,948 Oct 25, 2012 #24 Kongosho said: he he he, hata mie nafuata yake. Kanikataza kusuka maweaving, nimeacha kanikataza kuvaa hereni kubwa, nimeacha kanikataza kuvaa viatu virefu nimeacha kanikataza suruali, nimeacha sasa kwa nini na yeye nisimshirikishe na kasheshe zangu? Click to expand... kwani tunalipiziana mwanamke!?tafadhali bana,mtakuja tukana hadi mawifi zenu kwenye simu......tena bora uicheki nikiwepo,nikufume unavizia labda unadhani nimesinzia,hiyo ndo itakuwa mara ya kwanza na ya mwisho wewe kugusa simu yangu aisee!
Kongosho said: he he he, hata mie nafuata yake. Kanikataza kusuka maweaving, nimeacha kanikataza kuvaa hereni kubwa, nimeacha kanikataza kuvaa viatu virefu nimeacha kanikataza suruali, nimeacha sasa kwa nini na yeye nisimshirikishe na kasheshe zangu? Click to expand... kwani tunalipiziana mwanamke!?tafadhali bana,mtakuja tukana hadi mawifi zenu kwenye simu......tena bora uicheki nikiwepo,nikufume unavizia labda unadhani nimesinzia,hiyo ndo itakuwa mara ya kwanza na ya mwisho wewe kugusa simu yangu aisee!
M maisara Member Joined Sep 7, 2012 Posts 92 Reaction score 37 Oct 25, 2012 #25 Kongosho said: Ukiwa na gari usimwogope trafiki. Click to expand... hii nimeipenda.