wakuu tokea jana kila nikijaribu kubrowse kwa kutumia ile neti yetu ya bure kutoka voda ,ina nitolea mbavuni au ndo washatupiga pini !
Maana you tube video hazichezi hata page ya jamii forum haifungui naishia kuingia google tu. Nijuzeni tafadhali or Am i missing some thing?
Unaiba halafu unaomba tena msaada!!!
Haha!Tafadhali rudi kwenye jamvi la MMU,hapa kichina tu!Unaiba halafu unaomba tena msaada!!!
Itakuwa tatizo ni kwny proxy jaribu kuchange na kutumia zingine.. unatumia proxy gani jaribu hizi pia:
ip: 69.10.57.139 port:80 hii inagonga youtube poa sana
ip: 108.59.252.58 port:80
ip:216.155.153.105 port:80
ip: 199.167.132.123 port:80
Jaribu izo proxy zOte na kama still bado inafunguka Google tu then au kwanza test hizo kwanza

umevamia jamvi hili, rudi kwenye jamvi lako la Siasa.
Zote chali mkuu