Inakuweje mtu kaolewa/kaoa lakini bado........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuweje mtu kaolewa/kaoa lakini bado........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sinai, Apr 21, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamii, hivi inakuwaje pale unapokuta mtu kaoa au kaolewa, lakini bado anamng'ang'ania mpenzi wake wa zamani kabla hajaingia katika ndoa? Je hii ni afya kweli katika mapenzi? Kwanini usiridhike na huyo aliyekuoa au uliyemwoa? Nawakilisha!!!!!!
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ''fear of the uknown''
   
 3. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  duh!naona leo ni mambo ya ndoa tu humu ndani.

  mh!mi mwenyewe mgeni
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  heheheheh si mambo ya ndoa ni mambo ya ma ex b/f na maex g/f,,hehehehe lool kumekucha,,,
   
 5. Kayla

  Kayla JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....sifa kuu ya moyo kutamaaani...tamaa mbaya..20paa
   
 6. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Huyo ni kicheche tu,
   
 7. kure11

  kure11 Senior Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi naona tamaa zaidi,kuoa cause umempa Mdada mimba na ukapata shinikizo toka kwa wazazi au dada, huku mwenyewe ulikuwa unapita tuu.!!!!! Kwa wadada walifuata mali na na wanaowapenda sio walliowaoa jamen!!
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  zinaa tu hizooo!!!
   
 9. kure11

  kure11 Senior Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duuu!!! Umeniwahi na hii mada Sinai!!! Thanx.
   
 10. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  imeandikwa wapi? Mungu aliiumba moyo ili utamani??
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nataka kuleta posa kwenu hebu jiandae basi.
   
 12. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli susy watu wanahalalisha uzinzi kwa kusingizia moyo, ina maana wasio na tamaa hawana mioyo??
   
 13. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kwa mantiki yako kutafuta wapenzi wapya afta ndoa ni afya na ni poa. kosa ni kugeuka nyuma! that might be true unajua
  tena matapishi.
   
 14. A

  Anold JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,378
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  suala hili lipo tena kwa wanandoa wengi, na hii inatokana na maagano yanayofanyika kati ya wapenzi, wapenzi wengi wanapokuwa kwenye mahusiano hutamka mambo mengi na ahadi nyingi ambazo huenda kukaa moyoni, maagano haya watu wengi hawayavunji mara baada ya kuamua kuoa hivyo kusababisha kutangatanga na kumkumbuka mpenzi wa zamani. Fikiria mpenzi anapokuandikia message kuwa "yeye na wewe ni wa kuzikana" haya maneno huenda kuishi moyoni na inakuwa ni ngumu sana kuyaondoa. Kumbuka maneno mliyotamkiana na mpenzi wako wa zamani na ujiulize kama umeshawahi kuyakana. Ila haya ni mambo ya kiroho sio watu wengi wanayaelewa.
   
 15. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  humu jf kuna watu wanafiki sana mada keshaisoma af anachangia kuiponda mara ooh leo mambo ya sex mara oooh leo mambo ya bf na gf................ka hamna cha kuchangia mnachapa raaaaaaaaaaaaapa
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kiroho zaidi au?
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nimekumiss wewe mtu
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Am back now love mie pia nilikumic sana
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhhhhhh
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mba au?
   
Loading...