Inakuwaje? Unachotaka hukifanyi ..

Inakuwaje? Unachotaka hukifanyi ..

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Salam nzuri kwenu ..
Emmanuel ...
Jibu: Mungu pamoja nasi ..

Natumaini hamjambo waungwana;
Kuna jambo napenda kuwashirikisha .. hivi inakuwaje mtu anashindwa kufanya jambo ambalo analipenda?
Mfano: Mtu anapenda kuitwa Mfanyakazi ... lakini hataki kufanya kazi
Mtu anapenda kuitwa Mwalimu ... lakini hapendi kufundisha
Mtu anapenda kuheshimiwa ... lakini haheshimu wenzake
Mtu anapenda amani ... lakini yeye ni mwanzisha vurugu (hapo nakuongelea wewe wa rangi ya kijani na njano)
Anapenda kukaa garden ... kuitunza hiyo garden hataki...
Anapendwa kuitwa Baba fulani ... huyo fulani hapati matunzo toka kwa baba fulani ...

Inakuwaje?
 
unakuwa hivo kama ilivo sasa
1472121551063.jpg
 
Back
Top Bottom