Inakuwaje Nchi inajadili kitu kimoja Miezi 3??

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Hivi kweli hili sualaa haliwezi kufika mwisho??? Yani leo lipo mahakama hii kesho mahakama ileee tafranii tupuu..Watumie tu ubabe bhasii waliopewaa Mkataba waanze kazi kwa lazimaa maana huu ni ujingaa sasaaa kila siku habari ndo hizo hizooo hakuna kingine cha Manaa. Hapo bandarini sidhani hata kama shughuli zinaendeleaa maana hata management nadhani itakuwa njia panda..Anyway yapo mengi ya ovyooooo ilaa aliepost ule mkataba Mtandaoni ana nafasi yake Peponii...![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sasa ni Wakatoliki... Kesho bakwata.. Kesho kutwaa linarudi kwa mawakili alafu linaenda bungeni hakuna Muafaka????[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kwa staili hii kweli alafu anabuka mtu akuambie hakuna shida? kwanini msijadili tu?
 
Mkataba wa bandari DPW imekaa kimasihara

Just jokes

Refer kwenye Uzi wako pendwa
 
Hivi kweli hili sualaa haliwezi kufika mwisho??? Yani leo lipo mahakama hii kesho mahakama ileee tafranii tupuu..Watumie tu ubabe bhasii waliopewaa Mkataba waanze kazi kwa lazimaa maana huu ni ujingaa sasaaa kila siku habari ndo hizo hizooo hakuna kingine cha Manaa. Hapo bandarini sidhani hata kama shughuli zinaendeleaa maana hata management nadhani itakuwa njia panda..Anyway yapo mengi ya ovyooooo ilaa aliepost ule mkataba Mtandaoni ana nafasi yake Peponii...![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sasa ni Wakatoliki... Kesho bakwata.. Kesho kutwaa linarudi kwa mawakili alafu linaenda bungeni hakuna Muafaka????[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mungu anaipenda Tz.

Bado mbichi hii
 
Taifa lina demokrasia acha watu wajadili hata miaka 10 ndizo gharama za Demokrasia, Bandarini Shughuli hazijasimama hata Management sizani kama inatolewa kwenye reli na maoni ya watu, nina hakika wao walishakaa na wanajua walichoamua.
 
Tulikuwa tunajivunia kuwa viongozi kutoka Zanzibar hawana dna ya ufisadi...
Sasa sijui nini kimetokea!
 
Back
Top Bottom