ha ha ha, nimecheka tu.
Nilipanga kukubutua ila sentensi yako ya mwisho ikaninyong'onyeza. Ngoja waje.
Nimekua nikisikia na kusoma sehemu mbalimbali juu ya Mwanamke kufika kileleni au kupiga goli wakati wa kufanya mapenzi,nimefanya mapenzi mara kadhaa lakini huwa sijui kama mwenzangu amefika huko kileleni au kama amepiga bao.
Naomba nieleweshwe inakuaje ili niwe najua maana isije ikawa mara zote hizo nilikua napaka rangi upepo.
NB:Uungwana ni vitendo,tuelimishane na si kutukana.ahsante
Kwani vibaya?.....we unazan bila vile viungo kunatana Ungekuwepo wewe?Acha kuwaza ngono mkuu.
mwenye kugundua Uongo ni Yule Aliyekwisha ujua Ukweli!ni ushauro mzuri ila ninachotaka mimi ni kujua inakewaje bila kuambiwa na mhusika kwasasbabu anaweza kudanganya.
una miaka mingapi kwanza?? pili umewah kulala na waschana wangapi mpaka hapo ulipo?? nijibu ili nikufundishe uelewe.Nimekua nikisikia na kusoma sehemu mbalimbali juu ya Mwanamke kufika kileleni au kupiga goli wakati wa kufanya mapenzi,nimefanya mapenzi mara kadhaa lakini huwa sijui kama mwenzangu amefika huko kileleni au kama amepiga bao.
Naomba nieleweshwe inakuaje ili niwe najua maana isije ikawa mara zote hizo nilikua napaka rangi upepo.
NB:Uungwana ni vitendo,tuelimishane na si kutukana.ahsante
ajibie hapa hapa...akija PM mteme!una miaka mingapi kwanza?? pili umewah kulala na waschana wangapi mpaka hapo ulipo?? nijibu ili nikufundishe uelewe.
una miaka mingapi kwanza?? pili umewah kulala na waschana wangapi mpaka hapo ulipo?? nijibu ili nikufundishe uelewe.
Mie nimetoa la kimoyomoyo......halina ban hilo!!!ha ha ha, nimecheka tu.
Nilipanga kukubutua ila sentensi yako ya mwisho ikaninyong'onyeza. Ngoja waje.
sasa kama hajui kama alishawah kumkojolesha mwanamke huon naweza kuwa nasema na kijana at his teens??Hayo yanahusikaje dear?