Hata sisi wananchi pia ni mazezeta, nchi nzima tunalazimishwa kununua gesi ya mtu mmoja..
Gesi ya Mtwara kumbe haifai kupikia eee - hatukujua mapema tusingeshangilia wakati wa kujenga ile pipe toka Mtwara kuja dar ili ifanyiwe uchakataji afu tuipate kwa bei chee.