Wanaibiwa vizuri tu, in two ways ya kwanza ni bureaucracy polis wasio waadilif wakishirikiana na wezi (watu wazito) ya pili ni tech, wenzetu wako si advanced kuwaibia polisi ni kama umetanga WWIIINi jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha.
Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.
Sawa,ila ndiyo wamepewa clues kwamba ndani mwao kuna vibaka sugu.Ni juu yao,na tunataka tuone wafanye kitu.Hizo ni fursa za wakubwa
Tulia wewe tuendeshe Aston MartinSawa,ila ndiyo wamepewa clues kwamba ndani mwao kuna vibaka sugu.Ni juu yao,na tunataka tuone wafanye kitu.
Nataka muendeshe "Rozi Rozi"/Rolls Royce zaidi ili akili ziwakae vema hao mandula aka polisi.Tulia wewe tuendeshe Aston Martin
Watu wanacheza na kalamu πNi jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha.
Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.
Kama hawajielewi wacha waibiwe tu. Mbona Jeshi la mgambo/akiba hatuibiwi kindezi namna hiyo?Watu wanacheza na kalamu π
Madokomaaa
Ova
Huko hakuna neema πKama hawajielewi wacha waibiwe tu. Mbona Jeshi la mgambo/akiba hatuibiwi kindezi namna hiyo?
Acha uku kwingine tunapigwa kwenye bima duh πMwaka juzi ripoti zilionesha walipigwa sijui bilioni ngapi kwenye michango yao ya kufa na kuzikana
Bado airport sasa (45USD=121,000 Tsh kwa rate ya 1USD=2700 Tsh) per trip/passengerHuko hakuna neema π
Ukingia kwenye mfumo utapigwa tu
Ova
π hakuna jinsi ni kulipa tuBado airport sasa (45USD) per trip/passenger
mlinzi ndio mwizi isha onesha kila daliliNi jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha.
Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali zao nao wanaibiwa.
Kila sehemu ni kupigwa dahmlinzi ndio mwizi isha onesha kila dalili
Kulipa sio ishu Bali inaenda kufanya nn hiyo 45USD?π hakuna jinsi ni kulipa tu
Ova
Hapo ndiyo shuguliKulipa sio ishu Bali inaenda kufanya nn hiyo 45USD?
Hata ukijua inaenda utafanya nini? NI kupanda boda tu ama basi kuepuka kuwalipa hiyo 45 USD.Kulipa sio ishu Bali inaenda kufanya nn hiyo 45USD?