Hata sidhani kama yule alikuwa anaambiwa nlikuwa naambiwa mie ............nahisi mtima wa bwana ulikuwa zaidi kwa yule mie kwke alinichukulia mapozeo tu sikulijua hilo kuna siku tulikuwa wote barabarani tukapishana na huyo bi dada naye kapakizwa garini sijui na mnani basi wee.....nlijionea maajabu.... mkaka alitamani kuingiza gari chini ya uvungu wa lorry. Kumwuliza anajibaraguza nkamshushia vipande vyake ..........afu anabisha eti kwenye lile gari alokuwa anaendesha ni mwanamke loh.............mwishoni alikujaletewa mimba ya Mzimbabwe!!
halafu una hasira nyamayao,unawekaje hasira mda mrefu ivo watu kama hao usiwawekee hasira ni kuwatazama tu wakatafakari huko mbele ya safari.Hujawasikia na wale wanakuambia hawa watoto wangekuwa wa kwangu unabaki kucheka tu,na mashetani yake yakimtuma simu kwa kwenda mbele na marafiki zake kuja kukueleza upuuzi.
heheheeeeeeeeeMwanajamii1,
Kweli mimi haya mambo hata siyaelewagi..mapenzi bwana sometimes ni pasua kichwa!
Sikia hii, nilikuwa nadate na kaka fulani ila nikawa naona hana upendo pia ukaribu nami badi nikaamua kuongea nae. Unajua alichoniambia ni nini?eti anampenda sana dada fulani, ambae by coincidence ni wajina wangu yani 'Belinda' halafu mbaya zaidi nilisoma nae darasa moja primay na mpaka leo tu marafiki..
Hata sikumng'ang'ania japo niliumia sana sema sikuwa na jinsi kuachana nae. Akawa anapeleka majeshi yake kwa huyo another Belinda nae kumbe hakuwa na mpango kabisa na huyu kaka mana alikuwa na mpenzi wake.
Baada ya miaka kama miwili, huyu kaka sijui alipata wapi mawasiliano yangu mapya na kunipigia simu anataka tuonane..Kweli nilimshangaa sana, nakumbuka niliitikia wito na kwenda kuongea nae kwa mgahawa fulani...by then niko kwenye uhusiano mwingine.
Sasa akaanza kunielezea hajaacha kunipenda na bla bla zake..nilimuambia mimi nilikupenda na sasa hauko kabisa moyoni mwangu..nimeanza maisha mapya na hauko ndani yake! hakuamini alidhani labda nilikufa nimeoza kwake ila kiukweli alinitoka kabisa..
Sijui yupo wapi sasa ila alinizingua kweli kweli!!
Mwanajamii1,

hii sredi acha niiprint, kuna zembe flani tangu jana linakuja kulia lia hapa home kwangu, madam wake samtaimu halali home yeye bado linalia lia tu na linategemea atabadilika, eti huko nyuma hakuwa hivyo. kinachonikera, yeye linanyimwa na waifu wake halaf linakuja home namimi linaninyima uhuru wa kuangushana na waifu ukumbini mchana mchana, hakyanani likiendelea nitaita polisi. Tusing'ang'anie sana bana hizi vitu zipo kila kona kasoro jela, ni uamuzi tu.
inawezekana yupo hapa hapa JF. angalia PM yako kwa makini.Mwanajamii1,
Kweli mimi haya mambo hata siyaelewagi..mapenzi bwana sometimes ni pasua kichwa!
Sikia hii, nilikuwa nadate na kaka fulani ila nikawa naona hana upendo pia ukaribu nami badi nikaamua kuongea nae. Unajua alichoniambia ni nini?eti anampenda sana dada fulani, ambae by coincidence ni wajina wangu yani 'Belinda' halafu mbaya zaidi nilisoma nae darasa moja primay na mpaka leo tu marafiki..
Hata sikumng'ang'ania japo niliumia sana sema sikuwa na jinsi kuachana nae. Akawa anapeleka majeshi yake kwa huyo another Belinda nae kumbe hakuwa na mpango kabisa na huyu kaka mana alikuwa na mpenzi wake.
Baada ya miaka kama miwili, huyu kaka sijui alipata wapi mawasiliano yangu mapya na kunipigia simu anataka tuonane..Kweli nilimshangaa sana, nakumbuka niliitikia wito na kwenda kuongea nae kwa mgahawa fulani...by then niko kwenye uhusiano mwingine.
Sasa akaanza kunielezea hajaacha kunipenda na bla bla zake..nilimuambia mimi nilikupenda na sasa hauko kabisa moyoni mwangu..nimeanza maisha mapya na hauko ndani yake! hakuamini alidhani labda nilikufa nimeoza kwake ila kiukweli alinitoka kabisa..
Sijui yupo wapi sasa ila alinizingua kweli kweli!!
dUH... Mkuu hadi leo unamlea huyo anayekuja kulia-lia??hii sredi acha niiprint, kuna zembe flani tangu jana linakuja kulia lia hapa home kwangu, madam wake samtaimu halali home yeye bado linalia lia tu na linategemea atabadilika, eti huko nyuma hakuwa hivyo. kinachonikera, yeye linanyimwa na waifu wake halaf linakuja home namimi linaninyima uhuru wa kuangushana na waifu ukumbini mchana mchana, hakyanani likiendelea nitaita polisi. Tusing'ang'anie sana bana hizi vitu zipo kila kona kasoro jela, ni uamuzi tu.
nina hacra nalo sana sio cri, kwanza linanisumbua sana, pili nakoswa koswa matatizo na msukuma kwa ajili yake,kuna cku alisababisha kasheshe s'market, kunical ndio ucseme, cnaga hata no yake linatumia nos tofauti tofauti, dec nilikuwa naenda njoro nikawapeleka watoto kupata chochote pale changbay nimeenda kuwanunuliwa watoto maji narudi nje nakuta kambeba kijana wangu, kumbe lilikuwa linajua ntaenda njoro so likaniwindia wapi cjui mpaka likatukuta pale, mwili ulinccmka nikackia kudondoka kabisa, sasa lenyewe halijui kama huu usumbufu ndio unanifanya nazidi kulichukia..ki ukweli nalichukia sana.
mkuu njemba iliwahi kunikopesha hela past tense, sasa kuitimua laiv inaweza ikaanzisha mgogoro wa katiba. Lakini kama mpaka ijumaa itaendelea kuja kuomboleza nyumbani kwangu, naita polisi halaf najifanya kama sielewi nani kaita polisi. hapa ninapoishi, sheria ya kuita polisi ni very confidential.dUH... Mkuu hadi leo unamlea huyo anayekuja kulia-lia??
Mpe kubwa aende zake, PENZI HALILAZIMISHWI BANA, LINATAKIWA LIINGIE SMOOTH KAMA VILE UNAPOFANYA MAPENZI... ndio maana ya ile kitu kuwa vile, it is an expression of soulmates contacts, ikiashakauka basi na penzi lake huwa hivyohivyo
heheheeeeeeeee
Huyo kaka kama tulivyo wengi (both males and females) tunasahau kwamba love just like any other life encounter has a shelf life and if not nurtured well inakufa
I used to love one girl to death, and she knew it all along... and once she told me that even though nimeoa sina ujanja kwake coz she has all the keys to my love life... ALICHOKA!! AND NOW SHE REALLY HATES ME
a bit louder my love....Dahhh
Mambo kama haya yaposana
Lakini kitu nilichogundua huwezi
king'ang'ania penzi ..utahangaika
juu chini kumshikilia lakini kama penzi halipo
hatashikika...
Borea uishi pekee
Yako .kuliko kuishi na mtu
Ambaye mwili tu ndo uko hapo
akili, mawazo, roho, na kila kitu
internally kiko kwa mtu mwingine..
o sababu mbili tu
zinazofanya watu wasiopendana
Kuishi pamoja nazo ni mali na familia.
[/B]
hapo kwenye bold, Nyamayao mpe kubwa huyo asije akavuruga familia yako.
De Ja Vu....!thx darling,ur so considerate,,,,ntakuja fasta hope u won't break my heart,
very fun....hahaha kweli wengi tumepitia kashikashi za mapenzi jamani...alirudi kujificha mvua, ikiisha akampata aliepo moyoni anakutosa tena ukiwa rahic rahic unakuja kush2kia kijua kimeshazama mkaka amempata aliompenda kwa dhati unabaki kuckilizia maumivu/kuomboleza...
inawezekana yupo hapa hapa JF. angalia PM yako kwa makini.
Mbona wao sasa hawatupumzishi?? kila kukicha haloow mpenzi wangu wa zamani..........kama ni zamani si usinihallowInatosha, hebu pumzikeni kuwashushua hao maswitihati wenu waliovunja uswitinesi wenu.....@NY/MJ1.
duh, wewe kweli klorokwinmkuu njemba iliwahi kunikopesha hela past tense, sasa kuitimua laiv inaweza ikaanzisha mgogoro wa katiba. Lakini kama mpaka ijumaa itaendelea kuja kuomboleza nyumbani kwangu, naita polisi halaf najifanya kama sielewi nani kaita polisi. hapa ninapoishi, sheria ya kuita polisi ni very confidential.