MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
- Thread starter
-
- #101
Wapo wanaofanikiwa kuwafanya watu wengine kuwapenda, kwa hili kama umependa haifai kukata tamaa.
cjui wanakuagaje? wanajaribisha hukooo pakiwashinda wanakumbuka walikotoka, wengi wao huwa wamechelewa sana sana...mie niliumia sana yaani ni mtu niliempenda kwa mapenzi yangu yote, nilijua ctakuja kupenda/kupendwa tena, niliona hakuna zaidi yake, cku aliyoniambia tuishie hapa, nilijikaza kiume nikasonga na safari na kupata alienionyesha dunia ya mapenzi ilivyo, nilipenda/nikapendwa....ndio leo anahaha kwamba ningekuwa mke wake, cjui mke mwema.... cjui nn na nn jamani jamani, tujifunze kuukubali ukweli.
hili lilinitokea mie, nilipenda nicpopendwa, niliachwa njia panda bila kujijua, swali la kujiuliza ni kwamba unakubali matokeo lakini huyo huyo kwassa ndio msumbufu na lawma kibao lakini yeye ndio alikutosa, maisha haya...
Inakera sna kupenda usipo pendeka
Na kwa nini ung'ang'anie kupenda mahali ambapo hupendeki? Tafuta akupendaye umpende!!
nyamayao nlikuwa nakusubiri kweli kwenye hii thread..........dada haya mambo bwana. Asa usifikiri tunatendwa sie tu wanawake. Kuna wanaume wanatendwa hadi najiulizaga hivi huyu kwa mwanamke mwingine haiwezi??!! Kusema ukweli mapenzi ni noma. Kuna mkaka mmoja huyo yaani kwa miaka kadhaa sasa kashindwa hata kuoa kisa mwanamke ampendae kamtumikia na bado kasepa....so kaweka nadhiri haoi ah.....................................
Ha ha ha, mwj ...una visa wewe...mapenzi kimulimuli!
Kaka Mbu we acha tu...mapenzi acheni jamani yaendeshe watu............... nakwambia mwanaume amesubiri miaka kumi na ushee.............binti kamwonyesha kila dalili kuwa mh hapana am not into you lakini wapi.........anakubali anampa space mdada anaendelea na maisha BUT Mkaka anafuatilia...mdada akitendwa tu mkaka vuuup huyo to give the shoulder to cry on...........yaani hadi sasa. Huwa natamanigi kweli kumwuliza kama kwa mwanamke mwingine haiwezi?? Nashindwa tu kwa kuwa namheshimu.........
Ndio maana tunapinga hizi dawa za kuua wadudu kama mbu....mbu wakiisha, klorokwini na aspirin tutakosa soko.
Mbu na aendelee kuwepo daima.
Fellow tablet na mosquito nigongeeni senksi hapa kabla sijaidiliti hii yuziful post........
Mjuu mtiifu sorry kwa hii yuzifuli ofu topiki..........gonga senksi kuonyesha ishara ya upendo.
tripojo........laiti ingekuwa rahisi hivi kutambua na kukubali kuwa hapa sipo. Jamani acheni nadhani hayajawakuta.......mie I was like a zombie.....ukizingatia ndo alonifunza yaani nlimwona kama ndiye yeye peke yake lol..........Nakumbuka siku niko kwake nimemfulia, nikapika namaliza kutenga mezani ananiambia ........sasa mydia inabidi uondokke maana flan anakuja na nisingependa akukute hapa loh......nlijuta but thanx GOD that was the day I found my senses................ yaani nimpikie mwanamke mwenzangu nimtengee mezani yaani eh.....acheni jamani.
Ingawa alichomtendewa na yule mwanamke hakikuwa cha kiungwana but nilifurah kimoyomoyo........afu alitendwa kisha akakimbilia kwangu mie ambaye moyo ulishapata kutu....masikini.
nyamayao we acha huyu kwa kweli hata simchukii tena maana naona kabisa amekuwa mwalimu wangu mzuri...yaani siku hizi nikimkumbuka ninaachia tabasamu pana utafkiri niko kwenye maonyesho ya mwanya!! ah...tena alikuwa anataja kabisa jina na huyo mdada mie nlikuwa namjua loh..........nlikuwa nkitaka kuwa naye nafanya booking mapema....na bado siwi na uhakika kwani siku ikifika atakwambia Flan kantuma nikamchukulie lunch box sijui wapi loh .....................mbavu sina leoni mtu yackukute tu coz hujitambui kabisa kabisa, huyu wako alikuwa anakulazimisha uukubali mseto, unapika mwenzio anakuja kula, unafua mwenzio anakuja kulalia...nashukuru sana ulivyojichomoa huko, hii ilikuwa gunia ya msumari, kaka muwazi san huyo hataki matata...hiki kipande kimeniacha hoi bin taaban.
""sasa mydia inabidi uondokke maana flan anakuja na nisingependa akukute hapa loh.""
nyamayao we acha huyu kwa kweli hata simchukii tena maana naona kabisa amekuwa mwalimu wangu mzuri...yaani siku hizi nikimkumbuka ninaachia tabasamu pana utafkiri niko kwenye maonyesho ya mwanya!! ah...tena alikuwa anataja kabisa jina na huyo mdada mie nlikuwa namjua loh..........nlikuwa nkitaka kuwa naye nafanya booking mapema....na bado siwi na uhakika kwani siku ikifika atakwambia Flan kantuma nikamchukulie lunch box sijui wapi loh .....................mbavu sina leo
Kweli kabisa chauro.......nami nimejifunza.MJI usisahau msemo wa kutenda wema uende zako,huwaga hatuchelewi kulipwa ni hapa hapa na huwa haichukui mda mrefu.
Kweli kabisa chauro.......nami nimejifunza.
I wish.......................... I wish ningejua unachowish hapo kwenye signature yako Mamito
nyamayao we acha huyu kwa kweli hata simchukii tena maana naona kabisa amekuwa mwalimu wangu mzuri...yaani siku hizi nikimkumbuka ninaachia tabasamu pana utafkiri niko kwenye maonyesho ya mwanya!! ah...tena alikuwa anataja kabisa jina na huyo mdada mie nlikuwa namjua loh..........nlikuwa nkitaka kuwa naye nafanya booking mapema....na bado siwi na uhakika kwani siku ikifika atakwambia Flan kantuma nikamchukulie lunch box sijui wapi loh .....................mbavu sina leo
Kwakweli mambo yamapenzi ni magumu sana pindi yanapokufika muda mwingine inabidi uchukuwe uamuzi ambao utaamuia kwa muda na kusahau kuliko kuwa mtumwa wa mapenzi mana kung'ang'ania sehemu usiyopendwa ni utumwa wa mapenzi,HUWEZI KUKUMBATIA JIKO JAPO LINAKUIVISHIA CHAKULA LAZIMA UTAUNGUA TU MAMA[/QUOTE]
nimeipenda hiyo....
hahaha huyu alikuwa kichwa maji wallaahh, khaa ssa MJ1 huyo mdada nae alikuwa anajua kama jamaa ana wewe?..kweli hapo ilibidi tu ulivue pendo kabisa, mtu kama huyu sasa hivi ukikutana nae unajiuliza mara mia mia kwann uliruhusu roho yako kuvunjika wakati ule, mie langu leo nimekuta mail yake eti linataka nimpe nafac ya kuongea nae Easter nikienda njoro, yaani me niache kunywa mbege nikaongee na zilipendwa tena nikaongee utumbo, madai yake yupo tayari kufanya lolote ili anirudishe kwenye himaya yake...mama wa watoto wawili aitelekeze familia yake kwa ajili ya huu upupu.....ovyo la mwisho.