Na mimi nimeshangaa.Mabosi ni waajiri yaani employers huwa hawaruhusiwi kuwa na kadi za vyama vya wafanyakazi sasa inakuwaje wapewe zawadi na vyama vyao wakati sio wanachama?Leo siku ya wafanyakazi nashangaa mabosi kupewa vitita vya mamilioni ilihali wafanyakazi wachini wakiambulia pakavu.
Ni kweli kabisaNa mimi nimeshangaa.Mabosi ni waajiri yaani employers huwa hawaruhusiwi kuwa na kadi za vyama vya wafanyakazi sasa inakuwaje wapewe zawadi na vyama vyao wakati sio wanachama?
Tatizo hapo ni viongozi wa vyama kurubuniwa na kukubali na hila za baadhi ya viongozi wao ili wapate upendeleo kazini. Mambo kama haya yalifanywa sana na Richard Masika wakati fluni apokuwa Chuo cha Ufundi Arusha. Alikuwa anarubuni viongozi wa vyama vya wafanyakazi na kupata zawadi za ufanyakazi bora pamoja na cheti.Na mimi nimeshangaa.Mabosi ni waajiri yaani employers huwa hawaruhusiwi kuwa na kadi za vyama vya wafanyakazi sasa inakuwaje wapewe zawadi na vyama vyao wakati sio wanachama?
Hakuna ishu kama hioInawezekana anapewa mmoja kisha baadae mgao unahusika