INAKUWAJE MABOSI KUPEWA ZAWADI?

INAKUWAJE MABOSI KUPEWA ZAWADI?

TUCTA na TUGHE kutakuwa na matatizo huenda!

Hawa scope yao inaanzia wapi na kuishia wapi?

Nani anawachagua?

Ushirikishwaji wa wadau kwenye uchaguzi ukoje?

Huyo jamaa kiongozi anaitwa nani?
 
Kanuni ya mwenye nacho huongezewa kila mmoja humu anaifahamu na haijawai kukanushwa.

Hivyo mimi nawashangaa mnaoshangaa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Na mimi nimeshangaa.Mabosi ni waajiri yaani employers huwa hawaruhusiwi kuwa na kadi za vyama vya wafanyakazi sasa inakuwaje wapewe zawadi na vyama vyao wakati sio wanachama?
Ipo namna... Historia italiweka wazi !!!
 
Back
Top Bottom