Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,268
- 1,593
Wadau napata shida kidogo kuelewa, nimejaribu kufuatilia sakata mameya kuondolewa madarakani kwa sehemu kubwa unaona ni wakuu wa mikoa ambao nafasi zao ni za kuteuliwa ndiyo wamekuwa watengenezaji wazuri wa figisu zinazo watoa mameya madarakani.
Wateule hawa kama hawakupendi wanatumia madaraka yao kuhakikisha lazima utoke madarakani, huku wakijua kabisa kuwa Wananchi bado wanawapenda viongozi wao na wana Imani nao.
Lakini jambo jingine ni kwamba wateule hawa wanakuwa ni wageni katika mikoa husika wakati huo viongozi wa kuchaguliwa ni wazawa wa mkoa husika na wananchi waliwachagua sababu wanawajua vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app