Inakuwaje hii? Naweza kupata kadi ya CRDB?

Inakuwaje hii? Naweza kupata kadi ya CRDB?

Soft Guy

Member
Joined
Dec 18, 2023
Posts
64
Reaction score
153
Habari wanajamvi,

Nina swali kuhusiana na kupata kadi ya Benki.Nimefungua account ya CRDB juzi Kati ila nimebakiza siku SITA Ili nipate Kadi mkoa huu wa Mtwara.

Nimepata dharura natakiwa niondoke kesho je naweza pata kadi nikiwa mkoa mwingine?
 
Back
Top Bottom