greater G
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 308
- 215
Jana nimesikia wakili Kibatala ambaye amekuwa akitumiwa sana na CHADEMA katika kesi zinazowahusu wanachama wengi wa chama hicho akidaiwa kupeleka pingamizi kwenye kesi inayomkabili Adam Malima.
Nachojiuliza Kada huyu wa CCM imekuwaje amtumie wakili Kibatala?
Au wakili Kibatala mwenyewe ndo ameamua amsaidie kada huyo?
Maana Kibatala imeelezwa ameona kuna mapungufu makubwa kwenye hati ya mashtaka.