Inakuhusu wewe usiyetaka kuolewa

Mbona hujasema maumbile, IQ na dini ya huyo unayetaka akuzalie? huoni hivyo vyote ni muhimu ili kupata your dreamy baby. It is a great arrangement kwa mdada ambaye hana mpango wa kuolewa; ila huoni kama unamkosea mkeo hata kama hana uwezo wa kuzaa (nina assume hawezi kuzaa).

Pia nafikiri kwa aliyekuwa interested inabidi muandikishiane terms zote ili baadaye msigeukane, mara ooh nataka mtoto wangu etc.

yeye mwenyewe ana uwezo wa kuzaa? Maana siku hizi kwenye ugumba ni ngoma droo wanawake kwa waume
 
Hvi inakuaje unapomwambia mpnz wako habari za kuoana thn yeye anakuambia muda bado mpaka lini na muda unazidi kwenda?
 
Mmm!! Icjekuwa chelewachelewa utakuta mwana c wako
kama si wako ni bora ukajua kabla ya kuolewa.................... itakusaidia nini ukishaolewa ukajua kumbe mwana si wako??????????????/ tafakari...................... chukua hatua..............
 
inategemea msingi wa mapenzi yenyewe ulikuwaje tangu awali... isije kuwa yeye alijua ni mahusiano ya kumegana na kupeana kampani tu kumbe wewe unafikiria ndoa
 
Daah jaman nisadieni hvi utajuaje km mtu anakupenda


ONLY GOD KNOWS YOUR TRUE MAN OR WOMAN.YOU JUST PRAY HARD.NA KAMA NIMSICHANA USIJIACHIE SANA KWA MWANAUME WAKO KABLA HAJAKUOA..REMEMBER..YOU OR HE CAN CHANGE AND LOVE SOMEBODY ELSE AT ANY TIME..

MSOME ANA DIRECTION GANI...:juggle::juggle:
 
Daah jaman nisadieni hvi utajuaje km mtu anakupenda

the way anavyoku-treat, anavyokujali, anavyojitoa kwa ajili yako, anavyo-share maumivu yako, anavyokuheshimu na kukuthamini....etc etc
 
Ebwana eeee, kuna,rafiki yangu anavyofanywa na boyfriend wake such as anamsema mbele za watu km mtoto it mins n sign ya kutompenda or?
 
Dont love much..mpende,but ujue kwamba anything can happen before marriage or even after..so unavyouliza kama we can tell u kwamba anakupenda,we cant predict..anaweza aka show all the love,but later on aka kuhurt or ukamuumiza wewe..So we can say,sometimes love is probability...that means,it is not less than one or greater than one...it is only 1.
THAT IS U,TO KNOW THAT,AM I LOVED?,CAN WE REACH FAR?,,AM I HAPPY WITH HIM OR HER?..If you answer that and get yes..then your loved. Amney@
 
Unajua nn chrs, m nmeshachelewa coz nmeshapenda mwili mzima n nahc ameshanigundua maana ananpeleka mbio hiyoo mpaka duuuuh bac tena
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom