Maisha kwa ujumla...ndoa included!Maana sio kila mtu anajua walivyo kweli bali wanaonyesha vile wanavyotaka kuonekana!
heri na kwako pia kaka..
cjui tufanyaje ilituridhike na ndoa zetu, mie wakati ule niljaribu kumuweka mr chini na kumuhoji ni kitu gani kimempelekea mpaka akafanya vile, jibu ni kwamba hata mwenyewe hajielewi y alifanya hivyo, kwa maelezo yake ni kwamba anajutia sana coz hakuna kipya alichokiona huko, sasa y uli cheat, nisamehe mke wangu...khaaa jamani...
AD,
If you can afford it...baki single.
Ila mimi niliwahi kuwaeleza hapa hapa kuwa hata ungeniamsha ndotoni...ni heri kuuubeba huu mzigo wa ndoa kuliko kubaki single. Tatizo ni kwamba sijui yeye bibi anaonaje! But I am better off katika ndoa kuliko kuishi maisha ya kutanga tanga kama njiwa! No please...Nauli ya kwenye ndoa so far (with more than 10 yrs) ndo the cheapest kwangu!
Mifano hai ndo inayofanya mpaka naogopa!
dahhh
kwa kweli tuajiwekea Mentality mbaya sana kichwani..
very soon kutakuwa hakuna tofauti ya kuwa na ndoa au kuwa Single..
na maana halisi ya ndoa haitakuwepo..
Khaa! Mimi sitatoka nje ya ndoa yetu mbona unaanza kuwa na wasiwasi na ndoa hatujafunga.Mifano hai ndo inayofanya mpaka naogopa!
Bora ya wanaokaa hata kwenye Gari mojahalafu cjui mnajuaje kama mtu yupo happy/anapatiwa kila kitu kwenye ndoa yake,coz mnatuona tukicheka kwenye gari nakushikana mikono na mabusu? kuna zile ndoa ambazo zkiwa na matatizo ni ngumu kwa binadamu mwingine kujua labda mmoja wa wanandoa akushirikishe, ishu hapa ni kwamba hawa wanandoa watakuwa ni tabia yao ku cheat....
Khaa! Mimi sitatoka nje ya ndoa yetu mbona unaanza kuwa na wasiwasi na ndoa hatujafunga.
Wewe utaanza na housegirl! tahatahatehe! jkKhaa! Mimi sitatoka nje ya ndoa yetu mbona unaanza kuwa na wasiwasi na ndoa hatujafunga.
Wapendawa wanajamvi hili tukufu la MMU,
Maisha ya ndoa tuyaache kama yalivyo. Kila mtu anataka faidi bila kuwekeza....Sijui tutaipata hiyo faida.
Halafu unaweza kuishi kiseja kumbe mwenzio anakung'ong'a (mfano wa baba Enock hapo juu unatisha).
Kwa hiyo basi, na kila mtu aitumikie nafsi yake na kumtendea mwenzake yale ambayo hayatampeleka ICU au mortuary kabisa.
Nawatakia jioni njema na sikuu njema ya muungano (kiini macho)!
Kuna tofauti kubwa kati ya kuzungumza na kutenda unachozungumza. Wengi ya watu kabla ya kuoa walijiuliza maswali haya na mengine ila majibu yake wanayapata wakati wameoa. Kuna mtu alijiuliza inakuwaje mume na mke wanaachana hakupata jibu zaidi ya porojo ila baada ya kuoa kama 5yrs wakaachana na mkewe akawa ana majibu yote. kwa hiyo hili nalo lina jibu sahihi wakati ukiwa ndani ya ndoa ingawaje kila mtu akatoa majibu sasa hivi lakini 99% si sahihi.
MPENDWA asante kwa maelezo mazuri..ila mimi siogopi ndoa kwasababu nadhani hamna waaminifu!Naongoza kwenye kuwaambia watu wanawake na wanaume waaminifu wapo ni kiasi tu cha kuwapata!Ila kwa tunayoona na kushuhudia kila siku yanapunguza imani ya kwamba na mimi ntakua mmoja wa wenye bahati nipate mwaminifu!All in all jamii inafanya wengi wachukulie kutokua mwaminifu ndoani kama kitu cha kawaida na tunachotakiwa kukikubali...sasa sisi wabishi hatutaki yatukute ili na sie tusiyakubali!
DC nafikiri hatumshirikishi Mungu kwenye ndoa zetu wav wanasema wanamshirikisha kumbe wanafanya kinafiki tu nakumbuka kuna siku padri anafungasha ndoa kanisani akauliza "Ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake anyooshe mkono" kati ya watu wote wakiokuwemo kanisani walinyoosha wawili tu.Wapendawa wanajamvi hili tukufu la MMU,
Maisha ya ndoa tuyaache kama yalivyo. Kila mtu anataka faidi bila kuwekeza....Sijui tutaipata hiyo faida.
Halafu unaweza kuishi kiseja kumbe mwenzio anakung'ong'a (mfano wa baba Enock hapo juu unatisha).
Kwa hiyo basi, na kila mtu aitumikie nafsi yake na kumtendea mwenzake yale ambayo hayatampeleka ICU au mortuary kabisa.
Nawatakia jioni njema na sikuu njema ya muungano (kiini macho)!
AD and Lizzy
you can get some additional knowledge from this thread
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/76671-are-we-fighting-an-endless-battle.html