Sio kwamba kwetu Mambo yalikuwa mazuri, Hapana ni familia za kawaida Sana.Hebu jiulize mtu test tube hajawahi kuiona anaisoma tu, yale majaribio yote ameyasoma tu hajawahi yafanya. Mwalimu wake wiki 1 darasani wiki 3 kufatiria mshahara na stress kibao!.
Wale wa arts nao vitabu havipo shuleni, huyo huyo mtoto akirudi nyumbani chakula ugali au uji!, bado atatakiwa akatafute maji, aoshe vyombo!.
We mwenyewe umesema uliomba 450,000 ukapewa 500,000 ina maana kwenu upepo sio mbaya toka zamani, sasa hao wengine hata hela ya uniform 8,500 kwao ni mtihani ukiacha peni ya 200 inayoweza isha mpaka aibe za wenzie kuipata nyingine!.
Shukuru umekulia pazuri, ukasomeshwa pazuri!..
Hahaha pole Sana mkuuMi hata sikuelewa nilipataje hiyo zero ilinikumba tu kama maumivu ya kichwa yaupatamo mwili... ... Lakini baada ya kuzeeka ndiyo nimegundua makosa yangu..
FAINALI UZEENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatokea mkuu. Kuna sehem nimekupa factors zinazochangia.Kweli mkuu sikatai, but elimu na mafanikio ni vitu viwili tofauti, kwa thread hii sijabase huko.
Mm nilikuwa nauliza inakuaje mtu anaenda shule miaka 4 yote kwa O'level then anafeli?
Kukujib logic yako. Akili hazilingani. Bjnadam si wote ni smart..Mafanikio ni vitu viwili tofauti, base kwenye logic ya swali langu?
Hahahaha Kaka sawaKukujib logic yako. Akili hazilingani. Bjnadam si wote ni smart..
Si wote wako kwenye mazingirs mazur
Si wote wanafamilia zinazodhamini elimu
Si wote wanaoishi katika jamii zinazodhamini elimu.
Hayo yote yana play part kubwa kuhakikisha mtoto anafaulu au lah. Kuachilia mbali uwezo binafsi.
Factors ni nyingi sana..
Lakin swali lako limefanana na mtu mmoja alieuliza kwann miti yote si mirefu ,mingine ni mifupi.. mingine mirefu kiasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha duuuuuuh haya mkuuMalengo yako ni kujitapa tu wewe! Haya hongera kwa kusoma form six!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu wapo.Duuuuuuh hahaah
Huyu anashangaa o level alaf anataka kuhalalisha kufeli advance...
Uwezo huja na kupotea, labda tujiulize ni kwa nini uwezo huo hupotea kwa baadhi ya watu?Hapana mkuu, logic ni kwamba mpaka mtu amechaguliwa na kujiunga na kidato Cha kwanza ni lazma awe amefaulu na hivyo na uwezo wa kidarasa,
Ndiyo maana yake, au we huwa huoni zinapatikana.Hata Kama mkuu, ndo kweli mtu apate zero?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu na iman zao
Sasa advance kuna kipi cha ajabu.. Mbona nao wanacopy tu maswali ya nyuma.Advance na O'level ni vitu viwili tofauti, mtunga mtihani Advance ana wigo mpana mno haswa kwa comb. za sayansi, Physics, A.maths na chemistry kwa advance huwezi kuzilinganisha na O'level kule ni mziki kwelikweli Kama umesoma sayansi advance utanielewa