Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 246
anakusaidia kubeba mimba usijali
Tatizo ni ujauzito wako? Inawezekana ana mambo mengine yanamsumbua.
Ha..ha.ha mda si mrefu ataanza kutapika!! Msaidie tu.
Mmmh pole.... may be mimba itakuwa imemuendea yeye vibaya... hujawahi sikia mwanamke amebeba mimba mwanaume ndo anateseka.
Huku ni kutesana kisaikolojia ndugu yangu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
hajaanza kutapika tu?
bado kidogo atakutuma usiku malimao, sausage,chicken wings,samosa, mara usiwashe taa najiskia vibaya, mara nataka tuka-doo njee maana ndani kuna mwanga mkali mara hawezi kupakia gari anataka umbebe wakati ujauzito we ndo unao!
usijali mvumilie mwenzio ukishajifungua atakua poa!
Habari ndugu zangu,
Hivi jamani inakuaje mimba nibebe mimi halafu kisirani awe nacho mume wangu?yani utasema ye ndo mjamzito...mara kanuna mara awe kawaida yani inshort vurugu mechi wakuu hata sielewi namfanyaje huyu baba yangu jamani
Inanipa stress sana
Nyote wawili mna umri gani?
pole sana mpenzi mwambie ukweli aache kisirani...au kila akirudi akukute umelele
mumeo mjanja. kakuwahi mapema kabla hujakianzisha wewe kisirani cha mimba. nway, vumilia tun
pole sana mpenzi mwambie ukweli aache kisirani...au kila akirudi akukute umelele