unapompatia mtu appointment saa nne asubuhi tena unamsaidia yeye. Anafika saa nane, ume-switch ratiba nyingine kabisaa. Anakupa visingizio ambavyo hata mtoto wa jirani anajua unaongopewa.
Mi huwarudisha na kuwapa appointment wiki mbili mbele
Mnakubaliana na mtu mkutane mahali saa flani,we unafika utakaa mpaka masaa mawili bado anasema yupo njiani karibia anafika.
ah....eti jamaa anakubeep, ukimpigia oh nilikuwa na Shiva nikopeshe elfu 20.....
mtu anakupigia humfaham kisha aanza kukuuliza wewe nan...WTF
Nawe unamjibu kwani wewe umempigia nani?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Haka katabia tunako wa tz farkina, ukizingatis telephone etiquette humtaka mpokeaji wa simu ajjtambulishe.
sure au unakuta amekutext, wamtell kabisa sorry nani mwenzangu,akujibu ina maana umepoteza namba yangu... c'mon ningekuwa na namba yako ningeuliza 🙁
Hahahaha ikiwa yamshinda vocha ya 500 hiyo elfu 20 atalipaje? Lol ila may be kabeep kusisitiza ana shida
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Umekaa bar unakunywa bia yako ya mawazo halafu anakuja mtu na story nyiingi lakini mwishowe anaishia kukupiga kirungu ! Hivi kama huna hela umekuja bar kufanya nini ??
Jamaa mmoja alikuja mezani kwangu akanupiga kirungu cha bia moja nikaita muhudumu nikamwambia hebu mhudumie huyu ndugu anachokunywa kwa bili yake !!jamaa alinimaind kufa