Inakatisha tamaa


Mambo mazito kwelikweli> acha nivumilie Lisa.
Asante kwa ushauri
 

Asante kwa ushauri mzuri. Nimeipenda hii


 
Asante kwa ushauri mzuri. Nimeipenda hii

Fanyia kazi mkuu, ilinisaidia sana na watu wengi inawasadia. Unajua mama mja mzito anapata relief pale anapoona kwamba ule mzigo hajaubeba peke yake, yaani na wewe unahusika kuubeba indirect, hasa vile unavyojitoa kumsapoti.

Mpeleke Movie, maeneo mbali na home kubadili mazingira, mara moja moja unamuuliza nikubebee chakula gani (ingawaje sio lazima akile, anaweza kukitapika na usikasirike ukiona hivyo), mpe moyo mwambie maumivu yataisha. Mpe ahadi za uongo na kweli, piga naye stori.

Ukifanya hivi utashangaa atakavyokuwa anakumiss ukitoka, pengine atajitahidi baadhi ya vitu afanye mwenyewe kwa sababu anakuhurumia unavyomhangaikia.

Ni kwa muda tu.
 
wewe unaesema anajiendekeza beba na wewe mimba uone raha yake,ukishajua utamu wa kubeba mimba unaweza kwenda kumpigia mama ako magoti kwa mateso aliyoyapata kwa miezi yote tisa.
 
Hii kitu imenishangaza sana, nilifanyiwa kituko mpaka nikasema huyu mwanamke amerongwa au vipi. Sikuamini macho kwani nilikuwa nafikiria masihara kumbe yuko siriazi. Tangia hapo, sinautani tena na mama watoto wangu akiwa mimba.
 
Kwa kweli hayo ni mambo ya mpito kila wiku zikienda mbele itapungua nami mwanzo yalinipa tabu sana ila nimeshazoeya kwani nishapata mfanyo wake ni km haya
Siku 1 niliamsha usiku km saa 7 eti nikanunue fenesi ukizingatia ilikua si kipindi chake na siku nyengine nikatafute kachungwa hali hio nilikua inanikuta usiku hadi nilikua najifanya kutoka halafu nazama chumba cha 2 tunakuja kuonana asubuhi siku 1 niliagizwa nyama nilipokuja nayo ilirembewa jaani eti nimechelewa
Kua na subira ktk kipindi hichi na unatakiwa usiwe na hasira hata kidogo hayo ndio matokeo ya mafanikio
 
Fanya kama hako kasentesi hakapo then nishauri mkuu. Ushauri wako kwangu ni mhimu sana

Now you are talking!
Kwa kawaida mimba ni tukio la muda mfupi tu, kwa kuwa umesema kwamba mkeo ana mimba ya miezi mitano basi mvumilie hadi ajifungue. Kuna baadhi ya makabila hapa Tanzania, mke akiwa na hali kama hiyo basi hukaa kwa wazazi wa mwanaume ama wa mwanamke mpaka ajifungue, lakini hiyo sio practical kwa sasa, given kwamba wake zetu wengi niwafanyakazi. Lakini pia kuwa karibu na baba wa mtoto ni suala zuri kwa mwanamke, so sishauri hilo. Vumilia tu, yana mwisho hayo!
 
Mpende!hautaona haja ya kumfanyia mabaya.kumbuka hakuna bingwa wa kupenda sote tunajifunza hvy usichoke kujifunza&kuvumilia unapokosea ama jitihada zako zisipotambuliwa.
 
Acha wenge wewe si ulisema utamvumilia kwa shida na raha. Tulizana utakuja kuleta UKIMWI nyumbani kwa sababu ya kusema unatafuta faraja. Naruduia tena
ACHA WENGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…