Inaitwa G strings

Nivae ya nini wakati hazinisaidii kitu zaidi ya kunibana na kunsababishia joto?
Wanaume ndo wanatakiwa wavae sio mimi

Na ukiwa unatembea inakuwaje huko nyuma......mizigo haisababishi miluzi ukikatiza kwny vituo vya tax
 
Makalio kutingishika si kawaida jamani
unatingishika mti sembuse kalio?

Likiwa halijabanwa na kitu huwa ni balaa....na huoni kuwa unatupa ushawishi mkubwa wa kujitafutia jela kwa nguvu
 
kwan kazi ya chupi aina ya bikini ni nn haswa..??

Chupi yeyote haina kazi yeyote ile kwa mwanamke, chupi ina kazi kwa mwanaume tu....!!!
kama ambavo braa ina kazi kwa mwanamke ndivo kyupi kina kazi kwa mwanaume
mwanamke kuvaa chupi mi naona ni kujibana tu na kujipa jotrooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…