Inaitajika display ya Huawei p8

Inaitajika display ya Huawei p8

damon dash

Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
20
Reaction score
4
Mwenye kujua bei ya display ya huawei p8,au mwenye nayo anicheki tufanye biashara
 
Mwenye kujua bei ya display ya huawei p8,au mwenye nayo anicheki tufanye biashara
Iwapo utashindwa kabisa kupata, Agiza online

Fungua google.com

kisha andika/ copy hii: site:ebay.com Huawei P8 LCD Touch Digitizer

Baada ya kupata link inayokufaa.

Weka order kupitia hii thread: www.v.ht/buy4me
Capture.PNG
 
Mkuu amini p8 ni simu kubwa na matirio yake hasa display touch ni ghali mm nilikuwaga na p7 niliulizia display nikaambiwa around 150k to 180k amini sipo hapa kukuongopea nitapata faida gani au agiza online but usisahau model namba za simu mkuu.
 
Mkuu display yake original kabisa dukani bei juu. Njoo tu nikuuzie hii Huawei P6 kabisa yangu. Ni nyeupe, Ram 2GB, Camera ya nyuma 8MP. ya mbele 5MP. Bado mpyaaaa. Haina hata miezi mitatu. Na haina mkwaruzo hata mmoja. Bei 250 cash. Kwa picha nichech whatsapp 0715553166 ( hii namba ni ya whatsapp tu )
 
Back
Top Bottom