Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,244
Hakika natamani kusikia hiyo tume ya gondo la mboto inasemaje
imenisikitisha sana kusikia wakazi wa gongo la mboto si wanalia ndugu kupoea tu bali ni kwa nini familia za wanajeshi zilikimbizwa mapema...means ni kitu kilichokuwa kimetarajiwa je jk uko tayari kubeba huu mzigo///nilikutana na ndugu mmoja wa jeshini sitak kuwa msemaji ukweli wataujua mbinguni siku ya mwisho najua malipo hapa hapa dunian....anachosema yeye jeshini walitaarifiwa wakubwa baada ya kuyafanyia inspection kwamba ayako safi yalipuliwe..mkuu wa majeshi akiongozwa na maswahiba wake wakaikataa hiyo hali...na mwisho ikaamriwa kama kulipuka yacha yalipuke
nasema kwa machungu wapendwa kama nchi inaenda hii basi sie wa lugalo atuna budi kujiandaa siku ukiona malori ya wanajeshi yikibeba mizigo ya wanajeshi yamkini hata siku 3 tu uangalie muelekeo