Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,103
- 136,763
Hapo kwenye simu mhusika anairukia kama anadaka kombe la dunia.
Yaani ndoa watu wanaishi kwa kuwindana kama porini.
Tell me about it.....!!
Simu siri....mshahara siri....
Yote hayo ya nini?
Hapo kwenye simu mhusika anairukia kama anadaka kombe la dunia.
Kama inahusu mke kujua mshahara wa mume, je, pia inahusu mume au mke kushika simu ya mwenzake?
Au mshahara unahusu lakini simu haihusu?
Haya mahusiano ya siku hizi ni pasua kichwa sana.
yaaani leo sijui umekula nn hamisi wangu. kila unachocomment nakipenda. lol
Hmmm....nawe wantia hofu sasa! Hii ya kupenda kila nnacho comment haijawahi tokea! Kunani?
Ngoja nsepe kabla sijaharibu.
sio lazima
Shaka cna najua mko poa wana jf.... mada ni hvii... et inahusu mke kujua mshahara wa mumewe ni sh ngap