finance2014
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 314
- 79
Nothing like that, usikariri
Sio kweli mkuu inategemea na chuo na course unayosoma serikali inaviwango vyao kama chuo chako kina ada kubwa hata kama umeambiwa unalipiwa asilimia mia inayobakia lazina ulipe mfano hubert kairuki ada zao ni kubwa sana na serikali kozi za afya wanalipa asilimia mia ni kama 2.5M so kiasi kinachobaki unalipa mwenyewe