Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,666
- 5,058
Wabongo humu ni wanafiki sana. Mtu akileta gari yake akitoa offer let say 5M ,utasikia chukua 2.7M .
Kwa hiyo pesa bora ununue boxergari brevis au verosa inahitajika kwa pesa taslimu 3m
gari iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kufika sehemu yoyote tanzania..nipo mbagala zaidi nichek pm
Staili uliyokujanayo kiboko, kama unataka gari vile kumbe unauza mikwechegari brevis au verosa inahitajika kwa pesa taslimu 3m
gari iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kufika sehemu yoyote tanzania..nipo mbagala zaidi nichek pm
hakuna cha styleStaili uliyokujanayo kiboko, kama unataka gari vile kumbe unauza mikweche
We bwege kweli jamaa, kumbe wewe ndio unauza hayo magari it seems. Hapo andaa 3mil. ya kubadilisha engine, 1mil. ya kubadilisha matairi. 1mil. ya kubadilisha gearbox. Jumla milion 9 hadi inakaa sawa.
niko nabargain hapa na naichukua moja wapo soon
Ninyi madogo wa jf mnajiona mnajua kila kituView attachment 1831462View attachment 1831463
mtu hata milion hujawahi iona kwa macho unakuja coment pumba
Hizi ni misambwanda ya bibi yako au? na ninanua sasaView attachment 1831453View attachment 1831454
Hamna gari humo usitutishe..amini hizo gari ukinunua leo mpk mwaka unaisha litakubumia zaidi ya mara 40
mkuu umeandika ukweli mtupuHamna gari humo usitutishe..amini hizo gari ukinunua leo mpk mwaka unaisha litakubumia zaidi ya mara 40
Utasumbua sana watu na ma-triangle barabarani,utaliburuza sana na ma-breakdown utatumia mpk m3 service kabla mwaka hujaisha +3m ya kununulia sawa m6 toa mafuta just ndani huu mwaka tu,ukisema uishi nalo mpk mwisho wa 2022 gharama zake sisemi kitakachofata utatafuta mtu umuuzie milion 2-1.5,tafuta hela ununue gari acheni miteremko coz miteremko ina cost zaidi.
Nishawahi nunua gari milioni 3 baada ya mwaka na nusu nikauza kama skrepa sikupi gharama zilizonikumba kama huduma ya gari hilo la bei rahisi Na ukitaka shida kubwa kwa mswahili we mwambie ukweli ila ukweli ndo huo,for your good
tembelea mitandao mingine inasites za matangazo ya magari tena kwa bei poa
jf hovyo kwa sababu ya nyie madogo mnatunzwa na waume wa dada zenu
Hilo gari baada ya mwaka unafungua gereji yako,bila kwenda VETA.mtu hata milion hujawahi iona kwa macho unakuja coment pumba
Hizi ni misambwanda ya bibi yako au? na ninanua sasaView attachment 1831453View attachment 1831454