Inahitajika tractor farmer track

gen parton

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
642
408
Wadau mwenye tractor la aina hiyo au lolote na jembe liwe linaoperate ofa M15 au aneyeza nisaidia kuagiza kwa ofa hiyo
 
Ungeweka details zote aina ya tractor kama ni Massey au ford na ukubwa, ni Farm truck tractor kwa 15m itakuwa ni mbovu sana sikushauri kwa 35m ina ubora
 
huyu bwana mwanzoni hata mimi sikumsoma kabisa,spelling ni kitu muhimu,anamaanisha tractor ya brand ya farmtrac na hata kwa bei hiyo hapati
 
huyu bwana mwanzoni hata
mimi sikumsoma kabisa,spelling ni kitu muhimu,anamaanisha tractor ya
brand ya farmtrac na hata kwa bei hiyo hapati
kaka kwenye business lugha sio muhimu sana cha msingi maelewano ndio maana wachina tunafanyanao busuness japo hwajui swahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom