Inahitajika Toyota Carina TI

Inahitajika Toyota Carina TI

Username 20

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
743
Reaction score
1,522
Kama kuna mtu au mahali inauzwa Toyota Carina TI jaman natafuta iwe kwenye hali nzuri!
 
Ukilipata hilo gari hautajuta mimi pia natumia hilo carina ti nashukuru halinisumbui na spare zake zipo kila kona.
Kama vipi tafuta hilo gari ukiwa na fundi usiende kichwa kichwa
 
Back
Top Bottom