holygrail
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,303
- 592
Na wewe ni MWANAUME? Tupe uthibitisho usio na makinikia tukuamini.Kununa siyo tabia ya kiume....
Mwanaume gani unanuna?
Na wewe ni MWANAUME? Tupe uthibitisho usio na makinikia tukuamini.Kununa siyo tabia ya kiume....
Mwanaume gani unanuna?
Kabla sijakujibu nimeangalia kwanza profile yako!! kwa nilichokiona nakusamehe bile..kwani wewe hutombw.i??si ajabu hata tigo unaliwa
sawa umeshaangalia profile;nijibu sasaKabla sijakujibu nimeangalia kwanza profile yako!! kwa nilichokiona nakusamehe bile..
Swali lako linatokana na nini?Na wewe ni MWANAUME? Tupe uthibitisho usio na makinikia tukuamini.
Aisee!Ilikuwa ndio mchezo wetu kila siku mimi na mke wa mwanajeshi. siku hiyo mumewe yupo lindo kama kawaida akaja geto, tukapiga shoo mpaka nane usiku. ghafla akapata chango na tumbo kumuuma sana kiasi cha kuanza kulia kama mtoto tena akiwa bila hata na nguo tena geto kwangu. Nilimbeba na kumrudisha chumbani kwake kisha kuamsha mpangaji mwingine ambaye mumewe anaendesha gari ya tanesco. alipokuja kumcheki hali aliyomkuta nayo ilibidi amshawishi mumewe achukuw gari la ofisi ampeleke hospitali. Tangu siku hiyo niliapa kutokufanya ujinga huo tena.
Kweli MKUU nimekusomaLakini tambua apandacho mtu ndicho avunacho! mshaahara wa dhambi ni mauti.
We tafuta mkeo bana pia mbona wapo wanawake wengi tanzania hawajaolewa? yanini umlize kidume mwenzio aisee. Yeye si kama wewe bana wote mna feelings sawa?
Usipende kumtendea mwenzio usichopendwa kutendewa.
Remeber karma is bitch!
Nimekusikia MKUUNakushauri acha ndugu yangu kama umeweza kufanya hivyo muda wote na haujagundulika usiendelee tena coz huo sio ujanja usije ukafanyiwa kitu kibaya then wakaku post ktk social media sikuachi hivi hivi na kuacha na kibao cha miondoko ya mduara "popo wala wenziooo, popo wala wenzio popo nawe utaliwa ee"
MKUU USHUHUDA WANGU HUU NILIPONEA CHUPU CHUPU/ TUACHENI UZINZI JMN...
kwa wale walioish sehemu zenye baridi mtakua mnafahamu Kitu kinaitwa Dohani/ Wood burner stove, n jiko flan iv la ndani hasa seblen Ambapo jion Mnaweza mkawasha moto kwa ajili ya kupatajoto muwapo ndan, linakua linatoa moshi kwa juu. Sasa skia...
Wakuu nilifumaniwa mida ya saa mbili mbili iv usiku watu wakazunguka Milangoni mpk madirishan, Nikichungulia wameshika kila aina ya zana za kunidhuru na hasira juu, I had No choice kuokoa maisha yng, Nilipitia Kwenye ile vent sikuungua, sikuona moshi wala wembamba wowote ingawa moto ulikua umewashwa, Nikatokea juu ya paa, lilikua la vigae nikanyata taratibu Nikashukia uwani kbsa ambako hakukua na mtu yyt, mana hakukua na mlango wala dirisha. Nikaenda mtaani kwanza kubadili nguo alaf nikakodi bodaboda nikaja nayo mpk pale kweny msala ili kumuokoa demu nikajitia nimetoka misele, Walishangaa kinyama walionipakazia wakapata aibu wakaanza kutolewa nduki, wazee wakaniambia tusamehe sana kijana kwa kukuharibia sifaa. bahat nzur demu alikataa kata kata kua hakuna mtu ndan, na hakuamin aliponiona nje, mpk leo ananipa salute kwa maamuzi yale mana alihisi nimegata kati kati ya Dohani au nimeungua. Yule jamaa alienionaga live na demu ndani akaenda kuita watu Hadi kesho Haamin km ile siku mule ndani aliona mzimu, au aliota au n nini kilitokea, hakutarajia kbsa kuniona nje, ikafka mda akaanza kuni dought hata kuniogopa. IT WAS SOMETHING UNBILIVABLE kwa kweli binasfi mpk leo sidha km nitakuja fanya jambo la kijasiri na akili za haraka haraka kias kile.
Sasa mkuu km na we unabahat yako basi endelea, mm hio ndo ilikua pona yangu.