Inahitaji moyo kuchepuka na mke au demu wa mtu mnaeishi nae Nyumba moja.

Ilikuwa ndio mchezo wetu kila siku mimi na mke wa mwanajeshi. siku hiyo mumewe yupo lindo kama kawaida akaja geto, tukapiga shoo mpaka nane usiku. ghafla akapata chango na tumbo kumuuma sana kiasi cha kuanza kulia kama mtoto tena akiwa bila hata na nguo tena geto kwangu. Nilimbeba na kumrudisha chumbani kwake kisha kuamsha mpangaji mwingine ambaye mumewe anaendesha gari ya tanesco. alipokuja kumcheki hali aliyomkuta nayo ilibidi amshawishi mumewe achukuw gari la ofisi ampeleke hospitali. Tangu siku hiyo niliapa kutokufanya ujinga huo tena.
 
Habari wana bodi,

Nimara chache sana kwangu kuja kutupia kathread humu,huwa nakuja mara baada yakuona yamenifika hapaaaa!

Bila kupoteza muda nikwamba,nilitokea kuanzisha mahusiano na dem flan hivi ambae tunaishi Nyumba moja,yy anaishi na basha wake(Bodaboda)hawajaoana.

Mwanzoni nilichukulia poa coz nilijiona mjanja mimi kwakumega tunda la jamaa
Kipindi hicho mpaka leo bado nipo single.
Nikaona nimepata sehem yakujipozea tu kwamuda.

Kumbe dem kitandan yupo vzr sn,pia ananihudumia kama mumewe mpaka nikajikuta nanogewa bhana,mara nyingi jamaa yake huwa anakesha ucku na mimi huwa ndo napumzika mara baada ya mihangaiko.So huwa najinafasi.

Wakuu nimenogewa na utam wa huyu dem coz amekamilika haswaa.
Sasa kimbembe ni pale ninapokuwa nae magetoni ghafla jamaa anarudi,kiufupi huwa najisikia vibaya sana(Wivu,).

Sasa nimekuwa nanunanuna tu bila mpango utasema me ndo naibiwa.Yaan nikisikia wapo kimya room kwao basi me huku roho juu dah.Nateseka.Hivi nafikiria kutafuta dem wangu ili nimpige chini.

Kama hujawahi jaribu kuwa na mahusiano kama haya basi kabla hujaingia jipime kwanza kama una moyo.
Kama ni mwenzangu namimi USIJARIBU.Sorry kwa Uzi mrefu .
Huu usemi unakuhusu
"mla naye huliwa" chunga sana
 
Lakini tambua apandacho mtu ndicho avunacho! mshaahara wa dhambi ni mauti.
We tafuta mkeo bana pia mbona wapo wanawake wengi tanzania hawajaolewa? yanini umlize kidume mwenzio aisee. Yeye si kama wewe bana wote mna feelings sawa?

Usipende kumtendea mwenzio usichopendwa kutendewa.
Remeber karma is bitch!
 
Nakushauri acha ndugu yangu kama umeweza kufanya hivyo muda wote na haujagundulika usiendelee tena coz huo sio ujanja usije ukafanyiwa kitu kibaya then wakaku post ktk social media sikuachi hivi hivi na kuacha na kibao cha miondoko ya mduara "popo wala wenziooo, popo wala wenzio popo nawe utaliwa ee"​
 
Ni kweli MKUU lakini kuna msemo unaosemwa kuwa mwanaume ukimegewa na tafuta mnyonge ummegee..Hata me nilmemegewa
sasa kwanini unalipa ubaya kwa ubaya. Misemo hii ipo tu hata kwenye kanga ukiifuata itakupotosha kama ni kweli unafanya hicho ulicho kileta then

anza kunyoa makata mavi (mavumbi ya mkunguni)
 
Habari wana bodi,

Nimara chache sana kwangu kuja kutupia kathread humu,huwa nakuja mara baada yakuona yamenifika hapaaaa!

Bila kupoteza muda nikwamba,nilitokea kuanzisha mahusiano na dem flan hivi ambae tunaishi Nyumba moja,yy anaishi na basha wake(Bodaboda)hawajaoana.

Mwanzoni nilichukulia poa coz nilijiona mjanja mimi kwakumega tunda la jamaa
Kipindi hicho mpaka leo bado nipo single.
Nikaona nimepata sehem yakujipozea tu kwamuda.

Kumbe dem kitandan yupo vzr sn,pia ananihudumia kama mumewe mpaka nikajikuta nanogewa bhana,mara nyingi jamaa yake huwa anakesha ucku na mimi huwa ndo napumzika mara baada ya mihangaiko.So huwa najinafasi.

Wakuu nimenogewa na utam wa huyu dem coz amekamilika haswaa.
Sasa kimbembe ni pale ninapokuwa nae magetoni ghafla jamaa anarudi,kiufupi huwa najisikia vibaya sana(Wivu,).

Sasa nimekuwa nanunanuna tu bila mpango utasema me ndo naibiwa.Yaan nikisikia wapo kimya room kwao basi me huku roho juu dah.Nateseka.Hivi nafikiria kutafuta dem wangu ili nimpige chini.

Kama hujawahi jaribu kuwa na mahusiano kama haya basi kabla hujaingia jipime kwanza kama una moyo.
Kama ni mwenzangu namimi USIJARIBU.Sorry kwa Uzi mrefu .

Wezi bwana, huwa mna matatizo sana. Mtu umeiba, mwenye mali kaja kuchukua mali yake tena bila hata kukuua wewe unakasirika. Fanya kazi upate wako wajanja waje kujisitiri naye uone raha yake.
 
Back
Top Bottom