Inafaa kubadilisha kada?

Inafaa kubadilisha kada?

Kila kitu linawezekana. Ila itategemeana na scheme ya ajira Yako kama inaruhusu maana nadhani unachomaanisha ni pamoja na kwenda kusoma huku ukiendelea kupokea mshahara na employment security Yako iwe intact.

Kwa mfano Mwalimu kwenye halmashauri X anaweza kuomba kwenda kusomea uhasibu na akakubaliwa kwa sababu kada ya uhasibu inahitajika pia katika halmashauri hiyo n.k n.k.
 
Naomba kuuliza eti inafaa kubadili kada ikiwa umeshaajiriwa mfano kutoka elimu kwenda afya yan umeajiriwa kama mwalimu badae ukaamua kwenda kusomea udaktar inafaa
Inafaa,lkn yabidi iwe imetoka ndani yako we mwenyewe, yaani imetoka moyoni,isiwe kwa kushawishiwa toka nje yako au kwasababu fulani kafanya,utaangukia pua.
 
Back
Top Bottom