Inaelekea Mbowe hakuwa tatizo!

Inaelekea Mbowe hakuwa tatizo!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,844
Kabla ya kuachia Uwenyekiti wa Chama chake, ilikuwa siyo rahisi siku ipite bila kutupiwa dongo!

1. Mara Mwenyekiti wa maisha...
2. Mara CHADEMA ni SACCOS yake...
3. Mara CHADEMA ni Chama cha Wachaga...
4. ...n.k.

Baada ya kuuachia Uwenyekiti, kibao kimegeuka. Mashambulizi yaliyokuwa yanaelekezwa kwake sasa yamelekezwa kwa mrithi wake!

Kwa hiyo hata Lissu asingepewa kesi ya uhaini, pengine, kama asingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA!
 
Back
Top Bottom