Katiba mpya ni sasa katiba mpya ni sasa hii yote ni kuwa rais anakuwa Mungu Mtu yaani anamamlaka makubwa sana akitaka hata kuiuza nchi inawezekana na hakuna cha kumfanya maana katiba ya leo inamlinda na kumpa mamlaka makubwa hashitakiwi kwa anayoyafanya akiwa madarakani kwaiyo siku tukipata rais kichaa atatuburuza atakavyo mpaka akili za katiba mpya zitukae sawaWewe nawe umeanza kuzeeka na unashindwa tafakari vizuri..
Nilikwambia jana ujinga wote huu unaoendelea ni kutokana na mapungufu ya kikatiba.. Rais anafanya makosa ila hahusiki yeye anakuja husika aliyetumwa..
Wewe na mwenyekiti wako leo mko upande wa Mama..mnajikuta mko safe..
Atayefuatia atawakomesha kwa kuwaondoa wote ambao nyie leo mnafurahia. Komoa ni kukomoe.. KATIBA ya hovyo kabisa..
Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Labda mambo ya maridhianoKwani aligomea teuzi..!!
Timu gaidi wanajionaga hii Tanzania ni yao
Ben alipelekwa hadi kwa mkuru akalimwa chuma ikulu....Nasikia alimtambia mbowe kwamba watamfanyia kama walivyomtenda bwana Ben Saa 1 mbowe juzi ndio kamchongea bwana Diwani kwa mama
Leo umepumzika kuiponda Mwanza umekuja kufanya tetesi huku ! Pole sana.Ashughulikiwe..Ukishakuwa huna cheo wewe Ni sawa na dekio tuu
Kama kwenye genge kabaki peke yake, abebe tu, vinginevyo asaidiane na wengine waliobakiDah . Lord ..
Kwahiyo huyu leo ndo abebe madhambi yote ya Magu.
!!?
Alikusudia kumuua Lisu huyu jamaa
Ben Sa8 ndiyo akampoteza mazima.
Covid-19 wanakula kwa mgongo wake mpk kesho
Babu wanafutana memory huko ukizingua,dizaini dishi linayumba,alikuwepo mmoja makumbusho kafomatiwaMambo ya kweye movie mnataka myalete hapa??😂
Kwamba hivyo vidonge vinakwenda kufuta yale yanayohusu historia ya kazi yake tu? Kivipi?
Maana kama ni vidonge vya kufuta kumbukumbu, natarajia akizinduka awe hajui hata (a e i o u), sasa hivyo vidonge vinawezaje kuwa selective??
Umeshiba kande eeeh?
Yaani umeamini!?..we changia tu upunguze stressKwa wataalam wa maswala ya usalama wa taifa, hivo wamfanyiavyo ndo inavotakiwa? Yawezekana kweli wakawa wametumwa na mama? Hata kwa nchi za ughaibuni mtu akitoka kweny uongozi wa usalama hufanyiwa hivo?
Duh,ya kweli haya!?Ben alipelekwa hadi kwa mkuru akalimwa chuma ikulu....
etwege utaacha lini huu ujinga ndugu yanguTimu gaidi wanajionaga hii Tanzania ni yao
MSUYA hahusiki na Ben sanane anaehusika nae ni kipilimba.Kama ni hivyo abanwe mbavu mpaka aseme Ben Saanane yuko wapi
Mama anaupiga mwingi ama vepe? Mwaka huu MATAGA mtakufa preshaTimu gaidi wanajionaga hii Tanzania ni yao
DuuhNasikia alimtambia mbowe kwamba watamfanyia kama walivyomtenda bwana Ben Saa 1 mbowe juzi ndio kamchongea bwana Diwani kwa mama